KUMRUDIA MUNGU

(Zekaria 1:1-6)

Wana wa Israeli walimkosea Mungu kutokana na mambo mbalimbali waliyotenda lakini Mungu alitaka warejee kwake.

Wito wa kumrudia Mungu ulimaanisha, walipaswa kurudi walipotoka yaani kwenye njia ya Mungu, walipaswa kurejea kwenye mahusiano yao na Mungu yaliyokufa.

NAMNA YA KUMRUDIA MUNGU 

1. Kuyashika maagizo ya Mungu (Malaki 3:7)

2. Kumtafuta Mungu (Yoeli 2:12)

3. Kutubu (Luka 15:11-24)

BAADHI YA FAIDA ZA KUMRUDIA MUNGU

1. Mungu atakurudia (Zekaria 1:3)(Malaki 3:7)

2. Mungu atakufurahia (Luka 15:11-24)

Huyo kijana aliporudi kwa babaye, babaye alimfurahia.

Mungu hufurahia watu wanaomrudia yeye, kuna faida nyingi za kufurahiwa na Mungu, soma alichosema Joshua kuhusu kufurahiwa na Mungu (Hesabu 14:8)

 

Chapisha Maoni

0 Maoni