MAARIFA TIME BLOG
Ni kituo cha mtandaoni cha kutoa elimu ya Mungu, kituo hiki kinafanya kazi kuu tatu; kuaandaa mafundisho, kufundisha na kusambaza maarifa.
DIRA: Kuwa kituo cha kutoa elimu ya Mungu kwa njia ya mtandao.
DHAMIRA: Kuandaa mafundisho, kufundisha na kusambaza maarifa ili watu wapate maarifa yatokanayo na neno la Mungu (Biblia). (Mithali 12:1a)(Mithali 15:7)
KAULI MBIU
"Apendaye mafundisho hupenda maarifa"
KAZI ZINAZOFANYWA NA MAARIFA TIME
✓ ●Kuandaa mafundisho.
✓ ●Kufundisha.
✓ ●Kusambaza maarifa.
MALENGO YA KITUO
✓ ●Kuwaepusha watu na matatizo yatokanayo na kukosa maarifa.
✓ ●Kuona watu wana maarifa yatokanayo na neno la Mungu.
✓ ●Kuwapatia watu maarifa kuhusu masuala mbalimbali yasiyokinzana na neno la Mungu kama vile maarifa kuhusu uchumi, stadi za maisha nakadhalika.
✓ ●Kuwapatia watu maarifa wanaoweza kuwafundisha wengine.
2 Maoni
We are together mtumishi
JibuFutaSawa
Futa