Send
Me To The Missions ni programu ya kimisheni yenye lengo la kumzalia Mungu matunda kwa kila Kazi njema.
DIRA
(VISION)
Kumzalia Mungu matunda kwa kila Kazi njema.
DHAMIRA
(MISSION)
Kufanya na kuunga mkono kazi njema zinazomzalia Mungu matunda.
KAZI
1. Kuhubiri injili.
2. Kufundisha neno la Mungu.
3. Mombezi.
4. Nakadhalika.
MALENGO YA PROGRAMU
1. Kuujenga
mwili wa Kristo na ufalme wa Mungu.
2. Kutengeneza
kizazi kinachomjua Mungu.
3. Kuandaa watumishi na viongozi wanaolifaa kanisa na jamii.
4. Kulirejesha
kanisa katika msingi wa mitume na manabii.
MATARAJIO YA PROGRAMU
1). Ni kuona wakristo waliokua kiroho.
2). Ni kuona kanisa lina watumishi walioandaliwa vema na viongozi bora wa kulifaa kanisa na taifa.
3). Ni kuona jamii inamjua Mungu wa pekee na wa
kweli na Yesu Kristo aliyemtuma kuwaokoa wanadamu.
0 Maoni