Missions

 


Send Me To The Missions ni programu ya kimisheni yenye lengo la kumzalia Mungu matunda kwa kila kazi njema.

DIRA (VISION)

Kumzalia Mungu matunda kwa kila Kazi njema.

KAZI

1. Kuhubiri injili.

2. Kufundisha neno la Mungu.

3. Nakadhalika.

MALENGO YA PROGRAMU

1.     ✓ Kuujenga mwili wa Kristo na ufalme wa Mungu.

2.    ✓  Kutengeneza kizazi kinachomjua Mungu.

3.     ✓ Kuandaa watumishi na viongozi wanaolifaa kanisa na jamii.

 

MATARAJIO YA PROGRAMU

1). Ni kuona wakristo waliokua kiroho.

2). Ni kuona kanisa lina watumishi walioandaliwa vema na viongozi bora wa kulifaa kanisa na taifa.

3). Ni kuona jamii inamjua Mungu wa pekee na wa kweli.

Chapisha Maoni

0 Maoni