HAM

HAM ni kifupi cha neno Heri Amkumbukaye Mnyonge, hii ni programu ambayo ina lengo la kuwakarimu wajane, yatima, wazee na watu wanaoishi katika mazingira magumu.

AINA YA HUDUMA TUNAZOTOA

1.     1. Mavazi

2.     2. Utoaji wa vitu mbalimbali

3.    3.  Ufadhili.

NAMNA PROGRAMU INAVYOENDESHWA

programu unaendeshwa kwa kukusanya fedha au vitu mbalimbali vilivyotolewa kwa ajili ya wahitaji hususani makundi ambayo yamekusudiwa kuhudumiwa na programu kisha fedha hizo na vitu hivyo vinapelekwa kwa wajane, yatima na vituo vya kulea watoto yatima, wazee na watu wanaoishi katika mazingira magumu.

AINA YA MICHANGO TUNAYOPOKEA

1.     1. Mavazi

2.     2. Vitu mbalimbali

3.    3.  Fedha

NAMNA YA KUCHANGIA

Ikiwa kuna mtu mwenye utayari wa kuchangia chochote wasiliana kwa namba +255767955334  au +255625775243.

 

Ikiwa unahitaji ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa namba +255767955334  au +255625775243.

 


Chapisha Maoni

0 Maoni