HAM ni kifupi
cha neno Heri Amkumbukaye Mnyonge, hii ni programu ambayo ina lengo la kuwakarimu wajane, yatima, wazee na watu
wanaoishi katika mazingira magumu.
AINA YA HUDUMA TUNAZOTOA
1. 1. Mavazi
2. 2. Utoaji wa vitu mbalimbali
3. 3. Ufadhili.
NAMNA PROGRAMU INAVYOENDESHWA
programu unaendeshwa kwa kukusanya fedha au
vitu mbalimbali vilivyotolewa kwa ajili ya wahitaji hususani makundi ambayo
yamekusudiwa kuhudumiwa na programu kisha fedha hizo na vitu hivyo vinapelekwa kwa
wajane, yatima na vituo vya kulea watoto yatima, wazee na watu wanaoishi katika
mazingira magumu.
AINA YA MICHANGO TUNAYOPOKEA
1. 1. Mavazi
2. 2. Vitu mbalimbali
3. 3. Fedha
NAMNA YA KUCHANGIA
Ikiwa kuna mtu mwenye utayari wa kuchangia
chochote wasiliana kwa namba +255767955334 au +255625775243.
Ikiwa unahitaji
ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa namba +255767955334 au +255625775243.
0 Maoni