Neno "kiongozi" linaweza kutafasiriwa kwa namna mbalimbali"
Maana mojawapo ya neno kiongozi kwa mujibu wa Biblia, Kiongozi ni mtu mwenye mbinu au mikakati ya kufanikisha jambo fulani (Matendo ya mitume 1:16)
Yuda Iskariote aliwaongoza watu kumkamata Yesu.
Una mikakati au mbinu za kufanikisha jambo fulani? kama ndio unayo mikakati au mbinu basi wewe ni kiongozi, una sifa za kuwa kiongozi.
0 Maoni