NAMNA WATENDA KAZI WANAVYOPATIKANA



1. Kwa kuitwa na Mungu (Kutoka 31:1-12)
Mungu huwaita watu ili kutenda kazi mbalimbali, hawa hawasomei kazi hiyo bali ni Mungu huwaita kutenda kazi fulani.

2. Kwa kuandaa au kutengeneza watenda kazi ili kutenda kazi fulani (2 Timotheo 2:21)
- Zipo mbinu mbalimbali za kuandaa watenda kazi, mbinu mojawapo ni kuwafundisha kazi husika kwa mfano Yesu alipotaka watenda kazi wa kuvua watu aliwafundisha namna ya kuvua watu (Mathayo 4:19)

3. Kwa kuomba (Mathayo 9:37-38)

4. Kwa kuajiri (Mathayo 20:1-7) 

HITIMISHO
Hivyo basi mkitaka kupata watenda kazi katika kanisa kama taasisi, mnaweza kuajiri, kumuomba Mungu au kuandaa watenda kazi kwa ajili ya kazi mbalimbali.

Chapisha Maoni

0 Maoni