●Maombi yanayoambatana na kufunga (Esta 4:14-16).
●Maombi yenye hoja zenye nguvu zinatokana na neno la Mungu (Kutoka 32:11-14).
●Kuomba kama Roho Mtakatifu anavyokuongoza kuomba (Warumi 8:14,26).
●Kuomba katika Roho (Waefeso 6:18) kunena kwa lugha (1 Wakorintho 14:2,14).
Somo litaendelea kwa neema ya Mungu.
0 Maoni