BIBLIA NA UJANA


 

1. Ujana ni wakati au kipindi

(Mhubiri 12:1) ujana sio hali ni kipindi (season)

Hiki ni kipindi kinakuja na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya kimwili(kubalehe), mabadiliko ya kihisia (kijana anaanza kuhisi anaweza kujitegemea, kujiamulia mambo yake n.k)

2. Ujana unaweza kuheshimiwa au kudharauliwa

(1 Timotheo 4:11-12)

3. Mwanadamu huwa na mawazo mabaya tangu siku za ujana wake

(Mwanzo 8:21)

4. Kipindi cha ujana kina tamaa nyingi (tamaa za ujanani)

(2 Timotheo 2:22)

 

Chapisha Maoni

0 Maoni