Faraja Gasto✍️✍️✍️
“Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee.”
— Mat 21:2 (SUV)
Yesu alipotaka kumtumia Punda kuingia Yerusalemu aliwaagiza wanafunzi wake wamfungue Punda.
IKO HIVI: Kama umefungwa kwenye eneo fulani kuna aina ya utumishi ambao Mungu hawezi kukutumia kuufanya.
Hivyo basi ikiwa unaona kuna mahali umefungwa au haujui kama umefungwa hebu mwambie Bwana Yesu akufungue.
0 Maoni