✍️ Faraja Gasto
Macho ya mchungaji huona tofauti na wengine wanavyoona.
1. Macho ya mchungaji huwa yanatazama kundi ili kulikagua Kwa lengo la kubaini kama
a). Kondoo amejeruhiwa.
b). Idadi ya kondoo iko sawa au kuna kondoo hayupo.
c). Kondoo wanazaa (kondoo wanaongezeka au hawaongezeki)
d). Kondoo wanakua au hawakui na kama hawakui kwa nini hawakui.
2. Macho ya mchungaji huwa yanaangalia kama kuna adui anakuja au kama kuna hatari.
0 Maoni