NAMNA NDUGU WANAVYOTAKIWA KUISHI

                       Faraja Gasto
 

Jambo mojawapo linalomfurahisha Mungu ni uwepo wa undugu baina ya ndugu ndio maana Mungu alisema kupitia kinywa cha Mfalme Daudi "tazama ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja" (Zaburi 133:1-3).


Upo undugu wa aina nyingi lakini fundisho hili linalenga kuponya undugu wa

1. Kiimani

- Kama wewe ni mkristo unatakiwa kufahamu kuwa wakristo wote ni ndugu zako.


2. Damu

- Wanafamilia na wanaukoo ni ndugu zako.


3. Kitaifa

- Raia wote wa nchi yako ni ndugu zako.


4. Kikabila

- Watu wote wa kabila lako ni ndugu zako.


BAADHI YA MAMBO YANAYOHARIBU AU KUVUNJA UNDUGU

1. Fitina (Mithali 6:16,9)


2. Chuki (Mwanzo 27:41)


3. Kutosameheana (Mwanzo 27:42)


NAMNA NDUGU WANAVYOTAKIWA KUISHI

1. Ndugu wanapaswa kujuliana hali (Nehemia 1:1-4)(Kutoka 2:11)


2. Ndugu wanapaswa kushirikiana na kushirikishana mambo (Ayubu 1:4)(Zaburi 2. Ndugu wanapaswa kushirikiana na kushirikishana mambo (Ayubu 1:4)(Zaburi 133:1-3)


3. Ndugu wanapaswa kuhurumiana (Mwanzo 37:21)


4. Ndugu wanapaswa kuchukuliana na kusameheana (Wakolosai 3:13)

Chapisha Maoni

0 Maoni