BAADHI YA NYENZO ZA UFUNDISHAJI


Somo hili ni maalumu kwa waalimu wa neno la Mungu.


Ukichunguza huduma ya Yesu utagundua alitumia nyenzo kadhaa katika ufundishaji, nyenzo hizo ni

1. Mifano

(Mathayo 13:10)


2. Shuhuda

(Luka 10:18-20)


3. Historia

(Luka 15:11-32)


NB: Ni muhimu sana kuzingatia nyenzo hizo katika kufundisha neno la Mungu pia ni muhimu sana mwalimu wa neno la Mungu usome sana Biblia, usome sana vitabu mbalimbali, usikilize na kutazama taarifa za habari, midahalo nakadhalika, itakusaidia kupata nyenzo nyingi za kufundisha.

Chapisha Maoni

0 Maoni