Mbinu rahisi ya kukusaidia kujifunza somo la maombi, chukua Biblia kisha soma simulizi za maombi ya watu mbalimbali yaliyoandikwa kwenye Biblia.
Baadhi ya simulizi za maombi ni hizi zifuatazo:-
✓Maombi ya Hana (1 Samweli 1:9-20)
✓ Maombi ya Yabesi (1 Mambo ya Nyakati 4:9-10)
✓Maombi ya Mfalme Yehoshafati (2 Mambo ya Nyakati 20:1-29)
✓Maombi ya Mfalme Hezekia (2 Wafalme 20:1-7)
Katika simulizi hizo utajifunza mambo mengi kuhusu maombi.

0 Maoni