NDOTO ZA KINABII


 Unabii ni ujumbe maalumu wa Mungu kwa mtu au watu fulani wenye maelekezo fulani, maonyo, unaofariji, unaowajenga watu u kuwajulisha yatakayotokea siku za usoni au baada ya mwaka au miaka.

Ujumbe huu unaweza kuja kupitia nabii wa Mungu, mtu yeyote ambaye Mungu amependa kumtumia kuleta ujumbe, kupitia ndoto, kupitia nyuimbo, kupitia mahubiri nakadhalika.

Baadhi ya watu waliopata ndoto za kinabii

1. Yusufu mtoto wa Mzee Yakobo (Mwanzo 37:5-11).

2. Mfalme Nebukadneza (Danieli 2:1-47).

3. Mfalme Farao (Mwanzo 41:1-44).

Nahitimisha kwa kuuambia kwamba "usiwe miongoni wa watu wanaopuuza ndoto wanazoota hata kama hujui chanzo cha ndoto ni Mungu, shetani, roho yako, kuchoka nakadhalika, jizoeze kuzifuatilia ndoto unazoota"

Chapisha Maoni

0 Maoni