●●Anza mazoea mapya, mazoea yana nguvu ya kujenga tabia ukitaka kujenga tabia mpya anza mazoea mapya. Kwa mfano kuna watu wamekuwa na uraibu wa mitandao kutokana na kuwasha data muda wote, ukitaka kujenga tabia mapya anza mazoea ya kuzima data kwa muda fulani.
●●Epuka mazungumzo mabaya, mazungumzo mabaya yana nguvu ya kuharibu tabia njema hivyo basi ukitaka kujenga tabia mpya epuka aina fulani za mazungumzo.
●●Epuka kukaa na watu wenye tabia mbovu, achana na marafiki wabaya kwa kuwa watu unaoambatana nao wana nguvu ya kuathiri tabia yako na maisha yako kwa ujumla.
0 Maoni