Katika kujali afya yako kuna mambo mengi utapaswa kuzingatia kama vile KUZINGATIA LISHE BORA NAKADHALIKA.
Mungu alimwambia Nabii Eliya "1 Wafalme 19:7-8 Malaika wa Bwana akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, INUKA ULE MAANA SAFARI HII NI KUBWA mno kwako. Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu"
✔️Nashauri jifunze masuala ya lishe.
✔️Kama unafahamu masuala ya lishe nakutia moyo, eneza elimu hiyo ni ya muhimu sanaππππππππ₯π₯π₯π₯πππππππππππππ₯π₯π₯π₯π₯ππππ.
0 Maoni