SHIDA YA VIJANA


SHIDA YENU VIJANA mkishajua kuongea lugha ya kingereza au mkianza kupata vihela vya kuweka mfukoni basi mnaona maisha mnayawezea.

WEWE KIJANA, kuna watu unawazidi elimu na pesa lakini wanakuzidi akili na busara, JIZOEZE KUWASIKILIZA WAKUBWA (wanaokuzidi umri).

Wakubwa wana mambo mengi ya kukusaidia, usijifanye mjuaji mbele ya mtu uliyemkuta duniani (anayekuzidi umri).

ANGALIZO: Ikiwa mkubwa anakupa mashauri ambayo yako kinyume na neno la Mungu YAKATAE MASHAURI YAKE.

Chapisha Maoni

0 Maoni