Jambo mojawapo lilimsaidia Zakayo mtoza ushuru kumwona Yesu na kupata wokovu ni KUJUA NJIA ATAKAYOPITIA YESU (Luka 19:4)
IKO HIVI: Usipojua njia ambazo Mungu hupitia au hutumia kufanya mambo mbalimbali huwezi kunufaika na mambo ya kiungu.
Ikiwa unataka kuzijua njia za Mungu (Isaya 55:8)
1. Omba kama Musa alivyoomba, soma (Kutoka 33:13)
2. Waulize watu wanaozijua njia za Mungu - watumishi wa Mungu (Yeremia 6:16)
3. Jifunze njia za Mungu kwenye Biblia.
0 Maoni