Faraja Gasto
Utangulizi
Mawazo
mabaya ni mawazo yoyote ambayo yako kinyume na neno la Mungu au mpango wa
Mungu.
Watu
wengi wanasumbuliwa na mawazo mabaya, mawazo mabaya ndio yanayowafanya watu
kufanya maamuzi mabaya, somo hili ni mahsusi kwa kila anayesumbuliwa na mawazo
mabaya.
MBINU
KADHAA ZA KUSHINDA MAWAZO MABAYA
1.
Weka neno la Mungu moyoni mwako [Zaburi 119:11]
2.
Tumia maombi kuangusha mawazo mabaya
[2
Wakorintho 10:5]
3.
Jifunze kusamehe waliokukosea [Mathayo 6:12]
Kila
ambaye hajasamehe waliomkosea huwa anasumbuliwa na mawazo mabaya.
4.
Jifunze kuridhika [Wafilipi 4:11-12]
Ridhika
na kipato chako, mke, mume n.k
5.
Msikilize Mungu
[Mathayo
1:18-25]
Yusufu
alitaka kumuacha Mariamu kwa kuwa aliona ana mimba kabla hawajakutana kimwili
lakini Mungu aliingilia kati kuharibu hayo mawazo mabaya ya Yusufu.
6.
Ruhusu upendo ukutawale [1 Wakorintho 13:4-7]
1 Maoni
Amen very powerful 💪 indeed
JibuFuta