Wanawake wanachangia ukuaji wa uchumi wa taifa lolote kwa namna mbalimbali ikiwemo kuzaa nguvu kazi, wao ndio wanaozaa nguvu kazi ya taifa lolote hapa duniani, kila mtu huzaliwa na mwanamke.
HITIMISHO
Wanawake ni kundi muhimu sana katika ukuaji wa uchumi wa taifa lolote, hivyo basi kuna haja ya kufanya jitihada zinazolenga kuwanufaisha wanawake, jitihada hizo ni pamoja na KUBORESHA SEKTA YA AFYA (VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI KWA AJILI YA WANAWAKE) ili wapate huduma bora za afya, hili halimaanishi wanaume hawana mchango katika ukuaji wa uchumi, hili halimaanishi wanaume wanapaswa kusahaulika na kupuuzwa, nguvu ya ziada inapaswa kuwekwa kwa wanawake kutokana na mchango wao katika jamii na taifa kwa ujumla.
0 Maoni