UTU WA KALE ni mwenendo uliokuwa nao kabla haujamwamini Yesu au ni kuenenda kama wasiomwamini Yesu wanavyoenenda (Waefeso 4:24)
UTU MPYA ni kuenenda sawasawa na neno la Mungu au ni kutenda sawasawa na neno la Mungu (Waefeso 4:24)
KUUVUA UTU WA KALE (Wakolosai 3:9) ni kutoenenda kama wanavyoenenda wasiomwamini Yesu (Waefeso 4:17-23)
KUVAA UTU MPYA (Waefeso 4:24)(Wakolosai 3:10) ni kuenenda sawasawa na neno la Mungu (Waefeso 4:25-32)(Wakolosai 3:12-17)
0 Maoni