Watu wengi wamekuwa hawanufaiki na mwili na damu ya Yesu Kristo (meza ya Bwana) kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushiriki meza ya Bwana kidini.
Kushiriki kidini ni kushiriki meza ya Bwana huku ukiwa hauna ufahamu wa unachokifanya, unashiriki kwa kuwa ni utaratibu wa dini yenu au dhehebu lenu kuwashirikisha meza ya Bwana.
NB: Ukishiriki meza ya Bwana kidini hautanufaika, pata ufahamu wa nini unachofanya kabla ya kufanya.
0 Maoni