✍Faraja Gasto
●Kuhubiri injili.
●Kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu.
●Kulipa gharama ili injili ihubiriwe.
●Kuwakirimu wajane na yatima.
●Huduma ya maombezi - kuombea watu.
●Huduma ya upatanishi - kupatanisha watu.
●Huduma ya ushauri - kuwashauri watu kuhusu mambo mbalimbali.
●Kuwageuza watu waache uovu.
●Kutetea haki za walioonewa.
●Kuwaonyesha watu njia wanayopaswa kuiendea.
●Kuandika vitabu kwa ajili ya kuelimisha
●Kupamba majengo ya kuabudia.
●Kuwanunulia Biblia waliookoka.
●Kununua vifaa kwa ajili ya kazi za Mungu.
●Kuwapa chakula wenye njaa.
●Utumishi wa nyumba ya Mungu - kufanya usafi kanisani, kupanga viti kanisani, kupamba madhabahu.
0 Maoni