✍️ Faraja Gasto
Baadhi ya tabia za fedha
1. Fedha zinaongea
2. Fedha zinampa mtu nguvu
3. Fedha zinampa mtu kibali
4. Fedha ni ufunguo wa mambo mbalimbali
5. Fedha zinabadilisha watu
6. Fedha huwa zinataka zijulikane kama zipo
JINSI YA KUKAA NA FEDHA
1. Usizipende
- Chanzo cha mabaya yote ni kupenda fedha.
2. Usiruhusu fedha zikautawala moyo wako wala usitii sauti ya fedha
- Fedha zikiwa na sauti kubwa zitakutawala na zitakupangia cha kufanya.
3. Zione au zichukulie fedha kama kitendea kazi (zione fedha kama mfanyakazi wako)
- Watu wengi wanazitumikia fedha badala ya fedha kuwatumikia wao, ukitaka usizitumikie zione kama mfanyakazi - Watu wengi wanazitumikia fedha badala ya fedha kuwatumikia wao, ukitaka usizitumikie zione kama mfanyakazi wako.
0 Maoni