Shetani ni mwingi wa hila kazi zake ni kuua, kuiba na kuharibu, baadhi ya mbinu anazotumia kushambulia uchumi wa mtu hususani Shetani ni mwingi wa hila kazi zake ni kuua, kuiba na kuharibu, baadhi ya mbinu anazotumia kushambulia uchumi wa mtu hususani kipato ni;-
1. Kukuongezea watu wa kukutegemea kiuchumi ili kipato chako kihudumie watu wengi ili usisitawi kiuchumi.
2. Kuwashambulia wanaokutegemea kwa njia mbalimbali kama vile magonjwa, matumizi mabaya ya fedha, ajali n.k ili utumie uchumi wako kutatua matatizo tu usisitawi kiuchumi.
Vita ya kiuchumi ni ya kiroho na inaweza kudhihirika katika uliwengu wa kibinadamu.
(Luka 15:11-24)
Huyu mtoto alitumia vibaya (anasa) mali alizopewa na babaye hatimaye zilipoisha akarudi tena kuutegemea uchumi wa babaye.
NB: Mbinu mojawapo ya kibiblia ya kushida vita ya kiuchumi ni kuwakabidhi mikononi mwa Mungu wanaotegemea uchumi wako.
0 Maoni