Faraja Gasto
(Mathayo 13:14-15)
Biblia inaweka wazi kuwa moyo unaweza kuwa mzito, kama moyo unaweza kuwa mzito basi kuna uwezekano wa kuufanya moyo uwe mwepesi.
Fahamu haya
1. Uzito au wepesi wa kutendea kazi neno la Mungu unategemea uzito au wepesi wa moyo, mbinu mojawapo ya kuondoa uzito moyoni ili uwe mwepesi kutendea kazi neno la Mungu ni KUNENA KWA LUGHA.
2. Uzito au wepesi wa kumsikia Mungu unategemea uzito au wepesi wa moyo, mbinu mojawapo ya kuondoa uzito wa kumsikia Mungu ili uwe mwepesi kumsikia Mungu ni KUNENA KWA LUGHA.
3. Uzito au wepesi xa kuamini unategemea uzito au wepesi wa moyo, mbinu mojawapo ya kuondoa uzito wa kuamini ili uwe mwepesi kuamini ni KUNENA KWA LUGHA.
4. Uzito au wepesi wa kuelewa au kumuelewa Mungu unategemea uzito au wepesi wa moyo, mbinu mojawapo ya kuondoa uzito wa kuelewa au kumuelewa Mungu ni KUNENA KWA LUGHA.
0 Maoni