Faraja Gasto
Uongozi unaanza na tabia, zipo mbinu mbalimbali za kujenga na kuimarisha tabia ya kiuongozi, mbinu mojawapo ni KUTIMIZA AHADI.
Mungu kama kiongozi bora anatufundisha kuwa tabia mojawapo aliyonayo ni kutimiza ahadi zake (Hesabu 23:19)(Yeremia 1:12)
Viongozi wanaotimiza ahadi
1. Huwa wanaaminika.
2. Huwa wana ushawishi.
3. Huwa wanaheshimika.
Je! huwa unatimiza ahadi?
0 Maoni