MATUMIZI MAZURI YA ULIMI vs MATUMIZI MABAYA YA ULIMI

 

                          Faraja Gasto


Ulimi ni kiungo ambacho kimepewa uwezo wa ajabu (Mithali 18:21)


MATUMIZI MABAYA
1. Kujilaani au kujitamkia mabaya (Mithali 18:20)


2.Kumshuhudia mtu uongo au uzushi (Kutoka 20:16, 23:1)


3. Kuwavunja watu mioyo (1 Samweli 17:11)


4. Matusi au kutukana (Wakolosai 3:8).

5. Kuongea maneno ya kiburi au kujisifu (Zaburi 12:4).


6.Malalamiko au lawama (Kutoka 14:11-12).


7. Kueneza habari mbaya (Hesabu 13:32).


8. Kuchonganisha (Mambo ya Walawi 19:16)


9. Kuutumia ulimi kufanya mazungumzo mabaya (1 Wakorintho 15:33)


MATUMIZI MAZURI
1. Kutoa maneno ya kuwafaa watu kutegemeana na uhitaji wao (Waefeso 4:29)
-Kufariji au kutia moyo
-Kushauri n.k


2. Kupatanisha watu (2 Wakorintho 5:18-19)(Mathayo 5:9)


3. Kuombea watu, nchi n.k (1 Timotheo 2:1-4)(Waefeso 6:18-20)


4. Kumwimbia Mungu (Zaburi 149:1)(Waefeso 5:19)


5. Kuwaambia watu habari njema (Warumi 10:15)
-Sisi tuliomwamini Yesu ni wajumbe wa habari njema.

Chapisha Maoni

0 Maoni