Kila siku kuna mambo ambayo Mungu anataka kuongea na wewe, anataka kukujulisha mambo fulani pia anataka kukuelekeza.
Tatizo lako ni kwamba haujampa Mungu nafasi ya kuongea au haujatilia maanani mambo ambayo anaongea na wewe kwa njia mbalimbali.
Unampaje Mungu nafasi ya kuongea na wewe?
Haya ni baadhi ya mambo ya kufanya ili Mungu apate nafasi ya kuongea na wewe.
1. Soma, jifunze neno lake (Biblia).
2. Sikiliza habari zake.
3. Pata muda wa kutulia (mngoje Mungu aongee na wewe).

0 Maoni