Mwl.Faraja Gasto
Ukiona mtu amefanya jambo jema au amefanya jambo vizuri zaidi yako na ukashindwa kumpa hongera ni vema ujue wewe bado una akili za kitoto.
Mtu aliyekua huwa anawapa hongera wale waliofanya jambo jema au waliofanya jambo vizuri zaidi yake.
#Tukue
0 Maoni