MAARIFA TEAM ni kundi lenye dira ya kuandaa watumishi na viongozi bora wa kanisa na jamii.
DIRA (VISION)
Kuandaa watumishi na viongozi bora wa kanisa na jamii.
DHAMIRA (MISSION)
Kuwapatia watu maarifa hususani wanakikundi ili wawe
1). Watumishi na viongozi bora wa kanisa na jamii.
2). Chachu ya mabadiliko chanya
ndani na nje ya kanisa.
MALENGO YA
KUNDI
1). Kuujenga
mwili wa Kristo.
2).
Kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wa Yesu.
3). Kueneza
maarifa kwa jamii iliyo ndani na nje ya kanisa.
4).
Kutengeneza kizazi kinachomjua Mungu.
5).
Kuwafundisha watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha wengine.
MATARAJIO YA KUNDI
1). Ni kuona wakristo waliokua kiroho.
2). Ni kuona kanisa lina watumishi walioandaliwa vema na viongozi bora wa
kulifaa kanisa na jamii iliyo nje ya kanisa.
3). Ni kuona jamii inamjua Mungu wa pekee na wa kweli na Yesu Kristo
aliyemtuma kuwaokoa wanadamu.
KAULI MBIU YA KUNDI
“Apendaye mafundisho hupenda maarifa”
(Mitahali 12:1a)
KUJIUNGA NA
KUNDI
Piga simu au
tuma ujumbe +255625775243, +25576955334 au tuma ujumbe kwenye ukurasa wa Maarifa Team ulioko Facebook.
0 Maoni