OMBI MOJAWAPO LA MFALME DAUDI

 Jambo mojawapo ambalo Mfalme Daudi alimuomba Mungu ni hili

"Ee Mungu uniumbie MOYO SAFI" Zaburi 51:10a

Moyo safi ni moyo ambao haujabeba chuki, mawazo mabaya, visasi, ubinafsi na mambo yoyote mabaya.

NB: Matukio mabaya yanayotokea hapa duniani (ubakaji, mauaji, ufisadi, ukahaba, usaliti nakadhalika) ni MATOKEO YA YALE YALIYOJAA KWENYE MIOYO YA WATU.

👆Unaonaje lile ombi la Mfalme Daudi likawa ombi lako pia?

👉Kumbuka "Heri wenye mioyo safi maana hao watamwona Mungu" (Mathayo 5:8)

Chapisha Maoni

0 Maoni