KUHUSU UTUKUFU WA MUNGU


 Wakati mwingine dhambi husababisha utukufu wa Mungu kuonekana mahali fulani au kushuka mahali fulani, NDIO - Wakati mwingine dhambi husababisha utukufu wa Mungu kuonekana.

Kuna wakati utukufu wa Mungu huonekana au hushuka mahali fulani sio kwa sababu watu wamemsifu Mungu na kumuabudu katika roho na kweli bali KWA SABABU MUNGU AMEKUJA KUSHUGHULIKIA DHAMBI FULANI AU WATENDA DHAMBI FULANI.

đŸ‘‰Kitabu cha hesabu 14:10-30

Chapisha Maoni

0 Maoni