Wengine humuona aliyekufa au aliyeua mwenzake kama mwendawazimu.
Unapaswa kufahamu kuwa mapenzi yana nguvu za ajabu sana na yanaweza kupelekea mambo mbalimbali kutokea au kufanyika.
Nikupe dokezo kidogo kuhusu mapenzi, KILICHOSABABISHA YESU AKAFA MSALABANI NI MAPENZI (Yohana 3:16).
Kuna wakati Mungu aliwaadhibu wana wa Israeli kwa ajili ya wivu wa kimapenzi, kasome Biblia.
HIVYO BASI
1. Usichezee mapenzi.
2. Binti usiyaamshe mapenzi kabla ya wakati wake.
3. Kaa mbali na mapenzi.
4. Kama hauna mpango wa kuolewa naye usile vitu vyake.
5. Kama unamtumia tu kwa tamaa za kimwili, ACHA.
6. Mapenzi ni kwa ajili ya mke na mume tu✓
đšUSICHEZE NA MAPENZI.

0 Maoni