Kuna wakubwa wanaofanya mambo ya kitoto na kuna watoto wanaofanya mambo makubwa.
AKILI NA IMANI havihusiani na umri, Daudi alikuwa kijana mdogo lakini alifanya jambo ambalo watu wakubwa kiumri liliwashinda (alimuua Goliathi).
Watoto wana mawazo ambayo yanaweza kuwasaidia watu wakubwa kiumri.
USIWAPUUZE WATOTO, PATA MUDA WA KUWASIKILIZA.

0 Maoni